UGONJWA WA IMPETIGO(chanzo,dalili na tiba)

 IMPETIGO

• • • • • •

UGONJWA WA IMPETIGO(chanzo,dalili na tiba)


Ugonjwa wa Impetigo ni ugonjwa wa ngozi ambao huhusisha mashambulizi ya vimelea vya magonjwa aina ya staphylococci na streptococci.


Kwa asilimia kubwa ugonjwa huu wa Impetigo huwaathiri watoto wadogo, japo hata watu wazima huweza kupatwa pia na ugonjwa huu wa Ngozi maarufu kama Impetigo.


DALILI ZA UGONJWA WA IMPETIGO NI PAMOJA NA;


- Ngozi ya mwili kubadilika na kuwa nyekundu


- Ngozi ya mwili kuwa na vijipele au kuwa na rashes


- Wakati mwingine mgonjwa hupata miwasho kwenye ngozi


- Joto la mwili kupanda au mgonjwa kuwa na homa


- Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa


- Wakati mwingine mgonjwa huvimba


MATIBABU YA UGONJWA WA IMPETIGO


zipo njia mbali mbali za kumsaidia mtu mwenye ugonjwa huu wa Impetigo ikiwa ni pamoja na; matumizi ya dawa jamii ya antibiotics, kuhakikisha unapata mlo kamili au balanced diet, usafi wa mwili na mazingira N.K



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!