JAKADALA
• • • • •
UGONJWA WA JAKADALA(ugonjwa mpya wa zinaa)
Ugonjwa wa jakadala ni ugonjwa mpya wa zinaa ambao mtu huupata baada ya kufanya ngono au kujamiana.
Ugonjwa huu hushambulia na kutafuna maeneo ya sehemu za siri za mtu na huweza kusababisha kifo ndani ya muda mfupi sana.
Taarifa za chini chini kuhusu ugonjwa huu wa JAKADALA zilisikika nchini kenya baada ya Mgonjwa wa kwanza kulazwa kwenye hospital moja maeneo ya Migori.
MAGONJWA MENGINE YA ZINAA NI PAMOJA NA;
• Ugonjwa wa kaswende
• Ugonjwa wa kisonono au Gonorhea
• Ugonjwa wa Chlamydia
• Virusi vya HPV au human papilloma virus ambavyo husababisha magonjwa mbali mbali kama vile saratani ya mlango wa kizazi, Tatizo la Genital warts, Saratani ya koo N.K
• Tatizo la Herpes
• Ugonjwa wa UKIMWI
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE LA KIAFYA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!