AFYA TIPS
• • • • •
UHUSIANO WA KUJUMUIKA NA WATU WENGINE PAMOJA NA AFYA YA MWILI
Tafiti za wataalam mbali mbali wa afya hasa Madactari kutoka chuo kikuu cha Harvard Nchini Marekani zinaonyesha kwamba;
Kuwa na tabia ya watu kujumuika pamoja na kukaa pamoja husaidia kuongeza umri wa mtu kuishi.
Lakini tabia ya mtu kupenda kukaa peke yake, upweke mda wote, huongeza uwezekano wa mtu kupata;
- magonjwa mbali mbali ya moyo
- Tatizo la shinikizo la damu au Presha
- Hofu pamoja Kushuka kwa kinga yake ya mwili
- Msongo wa mawazo
- Magonjwa mbali mbali ya akili
- N.K
Hivo usipende kukaa peke yako, jenga tabia ya kujichanganya na watu ambao unaona ukiwa nao utakuwa na furaha ya maisha, jambo ambalo litakusaidia kukuepusha na magonjwa mbali mbali.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!