ULAJI WA KARANGA NA AFYA YA UZAZI(mwanaume)

 KARANGA

• • • • •

ULAJI WA KARANGA NA AFYA YA UZAZI(mwanaume)


Bila shaka ulishawahi kusikia baadhi ya maneno watu wakitaniana kwamba ukila karanga mbichi halafu upo peke yako ni hatari sana.


Ukweli ni kwamba Karanga husaidia sana katika swala la afya ya uzazi hasa kwa Wanaume.


FAIDA ZA ULAJI WA KARANGA KWA WANAUME


1. Karanga husaidia katika kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mbegu za kiume, hivo kuwa faida kwa wewe ambaye unatafta mtoto


2. Karanga pia huimarisha afya ya mbegu za kiume licha ya kuongeza uzalishaji wake


3. Ulaji wa Karanga husaidia katika kuimarisha nguvu za kiume hasa hasa karanga mbichi


4. Hivo kwa ujumla wake, ulaji wa karanga una faida sana katika afya ya uzazi kwa wanaume.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!