GOUT
• • • • •
USHAURI KWA WATU WENYE MATATIZO YA GOUT(gauti)
Moja ya vitu ambavyo huongeza ukubwa wa tatizo la Gauti ni pamoja na;
- Matumizi ya pombe kupita kiasi
- Kula nyama nyekundu na kwa kiasi kikubwa
- Matumizi ya dawa au kemikali zozote ambazo huweza kuongeza kiwango cha uric acid kwenye damu
USHAURI KWA WATU WENYE MATATIZO YA GOUT(gauti)
• Epuka matumizi ya pombe kupita kiasi
• Epuka matumizi ya nyama nyekundu au kula nyama kwa wingi kama vile; nyama ya mbuzi N.K
• Pendelea kunywa kiwango kikubwa cha maji kila siku
• Epuka matumizi ya dawa au kemikali yoyote ambayo inahusiana na kuongeza kiwango cha Uric acid kwenye damu
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!