FANGASI SEHEMU ZA SIRI
• • • • •
USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA FANGASI SEHEMU ZA SIRI
Miongoni mwa fangasi ambao hushambulia sana maeneo ya sehemu za siri ni pamoja na fangasi jamii ya Candida Albicans.
USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA FANGASI SEHEMU ZA SIRI
- Epuka kuvaa nguo za ndani ambazo zina unyevu unyevu kila mara
- Tambua kwanza dalili za ugonjwa wa fangasi kabla ya matibabu, na dalili hizo ni kama vile;
Miwasho sehemu za siri
Kutokwa na uchafu wenye rangi na mzito kama maziwa mgando
Ngozi ya sehemu za siri kubadilika rangi na kuwa Nyekundu
Kupata michubuko au vidonda sehemu za siri
- Epuka kufanya tendo la ndoa na mtu mwenye dalili za fangasi wa sehemu za siri mpaka apate tiba
- Miongoni mwa matibabu ya fangasi sehemu za siri ni pamoja na matumizi ya dawa kama vile; Clotrimazole cream ya kupaka pamoja na vidonge sita vya kudumbukiza ukeni
- Kutana na wataalam wa afya kwa ajili ya uchunguzi na kuanza tiba sahihi
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!