HORMONE IMBALANCE
• • • •
USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA HORMONE IMBALANCE
Hormone imbalance ni tatizo ambalo huhusisha mvurugiko wa vichocheo mwilini ambapo kwa asilimia kubwa huwaathiri wanawake japo hata wanaume hupatwa na tatizo hili.
Madhara ya tatizo hili ni makubwa ikiwa ni pamoja na mwanamke kushindwa kubeba mimba au mimba kuharibika zenyewe zikiwa katika umri mdogo hasa miezi mitatu ya mwanzoni.
USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA HORMONE IMBALANCE
- Epuka matumizi ya njia za uzazi wa mpango ambazo zina kiwango kikubwa cha vichocheo ndani yake kama vile sindano; N.K
- Epuka matumizi ya dawa ambazo kwa namna moja au nyingine huweza kuongeza au kupunguza kiwango cha vichocheo mwilini
- Baada ya kuona dalili kama kukaa muda mrefu bila kuona siku zako za hedhi,au kublid mfululizo kwa muda mrefu,ongea na wataalam wa afya
N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!