USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA UTI(wanawake na wanaume)

 UTI

• • • • •

USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA UTI(wanawake na wanaume)


Uti kirefu chake ni urinary track infection na maana yake ni maambukizi kwenye mfumo mzima wa mkojo ikiwa ni pamoja na; Kibofu cha mkojo, Njia ya mkojo, figo N.K


USHAURI KWA WATU WENYE TATIZO LA UTI(wanawake na wanaume)


- Epuka matumizi ya vyoo vichafu hasa hasa maeneo ya public toilets kama sokoni,stend N.K

- Epuka tabia ya kutumia maji ambayo yamekaa kwa muda mrefu chooni

- Wakati wa kujisafisha baada ya kujisaidia(wanawake) chooni, hakikisha unajisafisha kutoka mbele kurudi nyuma na sio kutoka nyuma kwenda mbele ili kuepusha kutoa uchafu kutoka njia ya haja kubwa kwenda njia ya haja ndogo na kuwa katika hatari ya kupata magonjwa mbali mbali ikiwa ni pamoja na UTI.

- Epuka kufanya mapenzi na mtu ambaye tayari ana Uti mpaka atibiwe

- Kwa watoto,epuka kumuacha mtoto na pampas kwa muda mrefu baada ya kujisaidia

- Ongea na wataalam wa afya kupata tiba sahihi ya tatizo lako


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!