SIGARA
• • • • • •
UVUTAJI WA SIGARA NA AFYA YA MAPAFU
Ukweli ni kwamba uvutaji wa sigara huharibu kwa kiasi kikubwa sana Mapafu yako.
Pia huweka mapafu yako katika kupata magonjwa kama vile Kansa au Saratani ya Mapafu.
Lakini pia habari njema ni kwamba ukiacha sigara Leo ndani ya muda kidogo, Mapafu yako yataanza kujirekebisha upya na seli zilizokufa kuzalishwa zingine kwa haraka zaidi
kitendo ambacho kitasaidia sana kwa mapafu yako ambayo yameathirika kwa Sigara
Hivo hujachelewa bado,unaweza kuacha sasa kuvuta sigara kwa ajili ya afya ya mapafu yako na mwili wako kwa ujumla
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
PICHA; Pafu la kwanza ni la mtu ambaye havuti sigara(non smoker) na Pafu la Pili ni la mtu ambaye kaathiriwa sana na sigara(smoker)
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!