VITU AMBAVYO NI HATARI KWA WATOTO WADOGO

 WATOTO

• • • • • •

VITU AMBAVYO NI HATARI KWA WATOTO WADOGO


Watoto wadogo wanataka uangalizi wa karibu sana maana wana hatari nyingi sana katika ukuaji wao. kuna vitu vingi ambavyo huweza kuwa hatari kwao, unatakiwa Mama,Mzazi, au Mlezi kuhakikisha baadhi ya vitu unavyiondoa kabsa.


VITU AMBAVYO NI HATARI KWA WATOTO WADOGO


1. Kuweka vitu vyenye ncha kali karibu na watoto kama vile Sindano,pini N.K

2. Kuweka vitu kama Nyembe au Kisu karibu na watoto

3. Kuweka Dawa za aina yoyote iwe ni vidonge au dawa za maji karibu na watoto

4. Kuweka sabuni karibu na watoto

5. Kuweka mafuta ya taa,mafuta ya kupaka au mafuta ya kula karibu na watoto

6. Kuweka jiko la mkaa karibu na watoto

7. Kuweka uji wa moto au chakula chochote jikoni kwenye jiko karibu na watoto

8. Kuweka jiko la gesi karibu na watoto

9. Kuwaacha watoto wadogo na mshumaa ukiwa unawaka

10. Kuwaweka watoto wadogo karibu na chupa,kioo,glass N.K



Watengenezee watoto wazingira mazuri kwa ajili ya usalama wao



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!