VYAKULA AMBAVYO HURUHUSIWI KULA KAMA UNA SHIDA YA GOITA

 GOITA

• • • • •

VYAKULA AMBAVYO HURUHUSIWI KULA KAMA UNA SHIDA YA GOITA


Ugonjwa wa Goita ni ugonjwa ambao unahusisha mtu kuvimba tezi aina ya thyroid na chanzo chake kikubwa kikiwa ni ukosefu wa madini ya Iodine.


Dalili yake kuu ni mtu kuonekana ana uvimbe maeneo ya shingoni. Tazama mfano kwenye picha yetu hapo chini.


Watu wengi hawafahamu kwamba sio kila chakula mtu mwenye tatizo la Goita anatakiwa kula, Baadhi ya vyakula huweza kuleta madhara zaidi kwa mgonjwa wa Goita


VYAKULA AMBAVYO HAVIRUHUSIWI KWA MGONJWA WA GOITA NI PAMOJA NA;


1. Vyakula jamii ya Broccoli


2. Vyakula jamii ya cauliflower


3. Na vyakula jamii ya Cabbage


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!