ATHARI ZA KUNYWA MAFUTA YA TAA

 MAFUTA YA TAA

• • • • •

ATHARI ZA KUNYWA MAFUTA YA TAA


Janga la kunywa mafuta ya taa huwapata sana watoto wadogo, kwani wengi wao hawajui wanajaribu kula au kunywa kila kitu, 


katika makala hii tunazungumzia kuhusu athari za kunywa mafuta ya taa mwilini


ATHARI ZA KUNYWA MAFUTA YA TAA


- Kemikali ambazo zipo kwenye mafuta ya taa huweza kusababisha njia ya chakula kupungua size na kuwa nyembamba sana hali ambayo huzuia chakula kisipite hasa kwa Watoto wadogo


- Kwa mujibu wa shirika la afya duniani yaani WHO, unywaji wa mafuta ya taa huweza kusababisha madhara kama vile;


✓ Kizunguzungu kikali


✓ Maumivu makali ya kichwa


✓ Magonjwa ya ngozi


✓ Mtu kupatwa na kichefuchefu pamoja na kutapika


KUMBUKA; na kwa wale ambao wanaweka mafuta ya taa kwenye chakula cha Wanafunzi hasa waliopo boding eti ili kupunguza mihemko kwa Wanafunzi, 


Hakuna tafiti zozote zinazoonyesha ukweli wa jambo hili.


kwa Ujumla wake,Matumizi ya Mafuta ya taa kama kunywa au kula ni sumu mwilini, epuka sana..!!


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!