CHANGAMOTO ZA KUPATA UJAUZITO KWA WANAWAKE WENYE UMRI WA MIAKA 35 na kuendelea
MIMBA
• • • • •
CHANGAMOTO ZA KUPATA UJAUZITO KWA WANAWAKE WENYE UMRI WA MIAKA 35 na kuendelea
Ukweli ni kwamba kadri umri unavyoongezeka ndivo uwezo wa mwanamke kubeba mimba hupungua.
changamoto ya wanawake wenye umri wa miaka 35 na kuendelea kutokubeba mimba inazidi kuwa kubwa,
Wastani wa wanawake wengi uwezo wa kubeba mimba huanza kupotea kuanzia miaka 45,50 na kuendelea, kwani asilimia kubwa ndyo hufika kipindi cha ukomo wa hedhi yaani Menopause
Ikiwa na maana kwamba hakuna mayai tena yanayozalishwa, kwa sababu ili upate hedhi lazima mayai yawe yanazalishwa
Na ili ubebe mimba lazima uwe na mayai.
Hivo licha ya matibabu ya dawa mbali mbali pamoja na vipimo, bado shida ya kubeba mimba huweza kuwa pale pale, kwani tayari kuna muda ambao ni kubeba mimba
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!