CHANZO CHA KUOTA NDOTO NYEVU(wet dreams)
NDOTO NYEVU
• • • •
CHANZO CHA KUOTA NDOTO NYEVU(wet dreams)
Ndoto nyevu ni zile ndoto ambazo mtu huota kwamba anafanya mapenzi akiwa amelala na baada ya kuamka anakuta amejichafua sana;
Ndoto hizi hutokea kwa kiasi kikubwa wakati wa ukuaji au kipindi cha Balehe, na huweza kutokea kwa jinsia zote mbili,tofauti na baadhi ya watu wanavyofikiria kwamba labda kuota ndoto hizi ni kwa wanaume tu,wanawake hawaoti.
CHANZO CHA KUOTA NDOTO NYEVU(wet dreams)
Chanzo cha ndoto hizi ni kutokana na kuongezeka kwa kiwango kikubwa cha Hormone za ukuaji kama vile TESTOSTERONE kwa wanaume,
hali ambayo hupelekea kuzalishwa kwa kiwango kikubwa sana cha mbegu za kiume,
Hivo hii ni mojawapo ya njia ya mwili kupunguza mbegu hizi endapo zimezalishwa na kukusanyika kwa kiwango kikubwa mwilini.
- Pia tabia ya kupenda kuangalia picha au video za ngono huongeza uwezakano wa mtu kuota ndoto nyevu
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!