CHANZO CHA MAUMIVU YA MBAVU UPANDE WA KUSHOTO

 MBAVU

• • • • • •

CHANZO CHA MAUMIVU YA MBAVU UPANDE WA KUSHOTO


Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kusababisha maumivu makali ya mbavu upande wa kushoto na sababu hizo ni kama vile;


1. Mtu kudondoka,ajali na kupata majeraha upande wa kushoto wa mbavu


2. Mbavu kuvujika


3. Uvimbe unaotokea katika joints za mbavu


4. Kupata shida yoyote inayohusu bandama, kama uvimbe n.k


5. Tatizo la kuvutwa sana kwa vimisuli vidogo ambavyo hupatikana katikakati ya mbavu


6. Hali ya kupata maumivu ya mbavu ambayo sababu haijulikani, hali hii kwa kitaalam huitwa Rib pain syndromes


7. Magonjwa ambayo huhusisha mfumo wa kinga ya mwili yaani Autoimmune diseases kama vile; Rheumatism n.k


DALILI ZA SHIDA KWENYE MBAVU


- kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kupumua


- Kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kulala


- Kupata maumivu makali ya mbavu wakati wa kuongea


- Mtu kushindwa kulala

n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!