CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA PAMOJA NA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI

  AFYA YA UZAZI

• • • • • 

CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA PAMOJA NA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI


Tatizo la vidonda pamoja na miwasho sehemu za siri huweza kutokea kwa wanaume na wanawake pia,


na tatizo hili huweza kuambatana na dalili zingine kama vile ngozi ya sehemu za siri kubadilika rangi na kuwa nyekundu sana kuliko kawaida,mithili ya mtu aliyeungua.


CHANZO CHA TATIZO LA KUWA NA VIDONDA PAMOJA NA MIWASHO SEHEMU ZA SIRI


- Tatizo la kuwa na vidonda sehemu za siri ambapo kwa wakati mwingine huambatana na miwasho mikali huweza kuchangiwa na sababu mbali mbali kama vile;


- Maambukizi ya Fangasi hasa jamii ya Candida Albicans


- Lakini pia maambukizi ya magonjwa mbali mbali ya zinaaa hasa maambukizi yanayosababishwa na kirusi cha HUMAN PAPILLOMA VIRUS au HPV 


ambapo husababisha ugonjwa unaojulikana kwa kitaalam kama Genital Warts.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!