SIKIO
• • • • •
CHANZO CHA TATIZO LA KUWASHWA SIKIO
Baadhi ya watu hupatwa na tatizo hili la kuwashwa sikio moja au masikio yote mawili, je chanzo chake ni nini?
CHANZO CHA TATIZO LA KUWASHWA SIKIO
Kuna baadhi ya sababu mbali mbali ambazo huweza kusababisha mtu kuwa na tatizo la kuwashwa sikio kama vile;
✓ Tatizo la allergy, allergy hii hutokana na kutumia vitu mbali mbali katika kusafisha sikio kama vile; Njiti za kibiriti, pamba au maji ya kuogea
✓ Kuwa na tatizo la Maambukizi ya fangasi masikioni
✓ Maambukizi ya bacteria katika Mfereji wa Nje wa sikio
✓ Kuota upele au uvimbe sikioni hasa katika sehemu ya nje ya sikio
✓ Baadhi ya Wagonjwa wa Kisukari pia hupata shida hii
✓ Kunywa pombe kupita kiasi
✓ Kuathirika kwa ngozi kutokana na sumu mbali mbali
MADHARA YA TATIZO LA KUWASHWA NA SIKIO
- kero na usumbufu muda wote
- Mtu kukosa usingizi kabsa
- Kuwa na hasira
- Kuwashwa muda wote
- Kuathiri uwezo wa sikio kusikia
n.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!