CHANZO CHA TATIZO LA MWANAMKE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

 MWANAMKE

• • • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA MWANAMKE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

Tatizo hili la kutokwa na uchafu mweupe na mzito kama maziwa ya mgando huwapata baadhi ya Wanawake wakati wa kufanya mapenzi na baada ya kufanya mapenzi.

Chanzo cha tatizo hili ni nini?

CHANZO CHA TATIZO LA MWANAMKE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

Zipo sababu mbali mbaki ambazo huhusishwa na tatizo hili kama vile;

- Maambukizi ya magonjwa mbali mbali kama vile; Ugonjwa wa Fangasi sehemu za siri,

- wakati mwingine hupatwa na hali ya kutoa maji maji ambayo yanaharufu mbaya,ambapo hii huashiria pia maambukizi kwenye via vya uzazi vya mwanamke

- Lakini pia mabadiliko ya gafla ya hali ya ukeni, kutokana na mashambulizi ya magonjwa ya zinaa

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!