DALILI ZA MTU MWENYE UPUNGUFU WA VITAMIN B2
VITAMIN B2
• • • • • •
DALILI ZA MTU MWENYE UPUNGUFU WA VITAMIN B2
Mtu mwenye dalili zifuatazo na hasa akiwa anasumbuliwa sana bila ya mafanikio yeyote basi anaweza akawa na upungufu wa vitamin B2
1) ulimi laini usokua na vile vinundunundu au ulimi wenye upara
2) ulimi ambao unauma na kuvimba (glossitis)
3) kuvimba na kuuma mdomoni kwa ndani (stomatitis)
4) koo kuuma,kuvimba,kukereketa na kuwasha (sore throat, hyperemia of pharyngeal mucous membranes)
5) kuvimba lips za mdomo (cheilitis)
6) kuvimba maeneo laini ya mwili (edema of mucous membranes)
cr:Dr.mathew
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!