UVIMBE KWENYE KIZAZI
• • • • •
DAWA YA KUTIBU UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA KUFANYIWA UPASUAJI AU OPERATION
Moja ya matatizo ambayo huwasumbua wanawake wengi kwa hivi sasa ni tatizo la Uvimbe kwenye kizazi,
CHANZO CHA UVIMBE KWENYE KIZAZI
- Kwa bahati mbaya mpaka sasa hakuna sababu ya moja kwa moja ambayo imeonekana kuwa chanzo, Japo kuna baadhi ya sababu ambazo zimeonekana kuongeza uwezekano wa mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazi kama vile;
• Swala la mabadiliko ya Kigenetics
• Mabadiliko ya vichocheo mwilini yaani Hormones changes
• Sababu ya mwanamke kuwa mnene kupita kiasi
N.k
DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI Ni pamoja na;
✓ Mwanamke kupata naumivu makali ya kiuno,na tumbo
✓ Mwanamke kupata blid ya mwezi nyingi kupita kawaida
✓ Mwananke kupata blid ambayo inazidi siku saba au wiki moja
✓ Mwanamke kukojoa mara kwa mara
✓ Mwanamke kupata tatizo la Choo kigumu
✓ Mwanamke kupata maumivu ya tumbo wakati wa tendo la ndoa na baada ya tendo
✓ Mwanamke kupata blid mara mbili ndani ya mwezi mmoja
N.k
DAWA YA KUTIBU UVIMBE KWENYE KIZAZI BILA KUFANYIWA UPASUAJI AU OPERATION
- Matibabu ya Upasuaji kwa ajili ya kuondoa uvimbe kwenye Kizazi, huwa ni matibabu makubwa na ya mwisho,
ambapo mgonjwa hufanyiwa upasuaji kulingana na ukubwa wa uvimbe wenyewe pamoja na sehemu uliopo.
Japo kabla uvimbe kufikia hatua hizo,mtu huweza kupewa dawa za kumsaidia na uvimbe ukaisha kabsa
Je una tatizo la uvimbe kwenye kizazi na unahitaji tiba? Tunaweza pia kuwasiliana kwa namba hapo chini ya makala hii
Kwa maelezo zaidi kuhusu tatizo la Uvimbe kwenye Kizazi,Chanzo,chake,Dalili Na Tiba Soma hapa..!!
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!