DOSE ZA DAWA NA MAANA ZAKE
DOSE
• • • • •
DOSE ZA DAWA NA MAANA ZAKE
Watu wengi hawafahamu na wala kuzingatia maelekezo ya dawa baada ya kupewa mfano;
Dawa umeambiwa utameza asubuhi,mchana na Jioni, Je hii ina maana gani?
Soma hapa; Dose hizi za dawa na maelekezo yake au maana yake
Ukiwa dawa umeandikiwa;
✓ 2×3 maana yake ni kwamba, unatakiwa umeze punje mbili za dawa kila baada ya masaa nane,
Hivo ile ya kusema kumeza dawa asubuhi, mchana na Jioni ina maana hii hapa ni kila baada ya masaa nane.
✓ 2× 2 maana yake ni kwamba unatakiwa kumeza punje mbili za dawa kila baada ya masaa 12,
✓ 2× 1 maana yake ni kwamba unatakiwa kumeza punje mbili kila baada ya masaa 24.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!