FAHAMU KUHUSU FANGASI WA MIKONONI MAARUFU KAMA TINEA MANUUM

 FANGASI

• • • • • •

FAHAMU KUHUSU FANGASI WA MIKONONI MAARUFU KAMA TINEA MANUUM


Hii initwa tinea manuum,ni fangasi za mikononi, mara nyingi hutokea kwa watu wenye fangasi za miguuni a kwenye vidole. Mara nyingi mgonjwa hua na fangasi za miguu yote miwili na mkono mmoja tu ("two-feet, one hand syndrome.").


 Fangasi hizi zinatibika vizuri sana

Kujizua na fangasi hii


1) Epuka kushikashika majimaji kwa muda mrefu


2) Hakikisha mikono yako ni mikavu muda wote


3) Pima na fuatilia mwenendo wa sukari yako


4) Punguza uzito wako


5) Pima afya yako mara kwa mara


6) Acha kuvuta sigara.  cc: dr.mathew


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!