JE KUNA MADHARA YA KUNYWA MAJI YALIYOTIBIWA NA WATERGUARD KWA MJAMZITO?
MJAMZITO
• • • • • •
JE KUNA MADHARA YA KUNYWA MAJI YALIYOTIBIWA NA WATERGUARD KWA MJAMZITO?
Utafiti ambayo ulichapishwa na jarida la BioMed Central's open access journal Environmental health june 5, 2008,
Ulionyesha kwamba, Matumizi ya maji kwa kunywa ambayo yalitibiwa kwa kutumia Chlorine kwa wanawake wajawazito,
huongeza uwezakano wa kuzaa watoto wenye matatizo mbali mbali kama vile; Matatizo ya moyo, matatizo ya ubongo pamoja na Midomo sungura au Cleft palate and cleft lip
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!