JE MWANAUME KUWA NA KUNDI LA DAMU AMBALO NI RHESUS FACTOR NEGATIVE KUNA MADHARA?
MAKUNDI YA DAMU
• • • • • •
JE MWANAUME KUWA NA KUNDI LA DAMU AMBALO NI RHESUS FACTOR NEGATIVE KUNA MADHARA?
Hapa nazungumzia kwenye maswala ya Uzazi, Endapo mwanaume ana kundi la damu(Blood group) rhesus factor NEGATIVE mfano; A-, AB-, O- kuna shida?
Shida huweza kutokea endapo mke wake ana kundi lolote la damu halafu Rhesus factor POSITIVE mfano; A+, AB+, O+
Pale atakapobeba mimba na kuzaa mtoto wa kwanza, Mwili wake huanza kutengeneza mfumo wa kupambana na Ujauzito mwingine,
Hapa ndipo matatizo huanzia, shida ya mimba kutoka zenyewe au kuzaa mtoto akafariki ndani ya muda mfupi baada ya kuzaliwa, kwa kukosa hewa ya oxygen,kuishiwa na damu au matatizo mengine ya upumuaji,
Hivo lazima hatua sahihi zichukuliwe kwanza kabla ya kuanza kupanga uzazi. kama vile kuanza dose ya sindano za ANT-D
KUMBUKA; Hakuna shida endapo wazazi wote wawili (Baba na Mama) Wana makundi ya damu ambayo Rhesus factor hufanana, Mfano; Kama ni NEGATIVE wote iwe negative na kama ni POSITIVE wote iwe positive.
Na madhara hatuzungumzii kwao, tunazungumzia kwa upande wa ujauzito pamoja na mtoyo atakayezaliwa.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!