Ticker

6/recent/ticker-posts

JE NI UMRI UPI SAHIHI WA MWANAUME KUTAHIRIWA?(soma kujua)



 Kutahiriwa

• • • • •

JE NI UMRI UPI SAHIHI WA MWANAUME KUTAHIRIWA?(soma kujua)


Watu wengi wamekuwa wakijiuliza swali hili, kwamba je ni umri upi sahihi wa mtoto wa kiume kutahiriwa?


Kutokana na makala mbali mbali za wataalam wa afya, Hakuna umri maalumu, japo wengine hushauri ni vizuri mtu atahiriwe akiwa na umri mdogo Mfano; miaka 3, 5, 6 n.k


Japo hata kama umri ni mkubwa kutokana na umuhimu wa mwanaume kutahiriwa ni vizuri pia kufanyiwa huduma hii bila kujali aliwahi au kuchelewa.


Kutahiriwa husaidia sana kumkinga mwanaume na magonjwa mbali mbali pamoja na kumuweka katika hali ya usafi zaidi, Kujua umuhimu wa mwanaume kutahiriwa soma hapa.!!



NA KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUNAWEZA KUWASILIANA KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments