JINSI YA KUJIZUIA NA FANGASI WA MIGUUNI MAARUFU KAMA TINEA PEDIS INTERTRIGEOSA

FANGASI

• • • • • •

JINSI YA KUJIZUIA NA FANGASI WA MIGUUNI MAARUFU KAMA TINEA PEDIS INTERTRIGEOSA


Hii ni fangasi ya miguuni hasa hasa kwenye vidole na katikati ya vidole (tinea pedis intertrigeosa)


Inatibika vizuri sana


Kujizuia na hili fanya haya


1) Usivae viatu bila soksi


2) Usivae soksi mbichi


3) Pima na fuatilia mwenendo wa sukari yako


4) Punguza uzito wako


5) Pima afya yako mara kwa mara


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!