Kahawa imesheheni DITEPERNES KAHWEOL na CAFESTOL

KAHAWA

• • • • • •

Kahawa imesheheni DITEPERNES KAHWEOL na CAFESTOL 


Tafadhali sana mdau wangu sijasema kahawa itumike kama dawa au itumike wakati wa magonjwa kwa maaana ya kuacha dawa na kutumia kahawa. 


Faida nazoenda kusema ni kwa wale watumiaji wa mara kwa mara na faida wazipatazo kwa miili yao ikiwemo kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali


NB;kutokana na uwepo wacafestol ndo maana tunahimiza kuepuka matumizi ya kahawa kwa wagonjwa wa moyo na presha ya kupanda.


Kemikali hizi zina faida zifuatazo


1) Huondoa maumivu na mwili kuvimba (anti-inflammatory)


2) Kupunguza uwezekano wa kupata satatani mbalimbali (Anticarcinogenic activity


3) Hupunguza uwezekano wa mifupa kua laini,kuuma na kutoboka toboka (anti-osteoclastogenesis activities )


4) Hupunguza uwezekano wa kupata kisukari na kudhibiti sukari (antidiabetic)


5) Hupandisha lehemu LDL-HII NI HASARA (Serum LDL rising in humans. cc:dr.mathew




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!