Ticker

6/recent/ticker-posts

KAHAWA IMESHEHENI MONOPHENOL CHLOROGENIC ACIDS(CGA) (soma makala hii kujua)



KAHAWA

• • • • • •

KAHAWA IMESHEHENI MONOPHENOL CHLOROGENIC ACIDS(CGA) (soma makala hii kujua)


Kahawa imesheheni MONOPHENOL CHLOROGENIC ACIDS (CGA). Aidha kukaanga kahawa na namna ya kuzihifadhi hupelekea upotevu na upungufu wa hii kemikali.  Tafadhali sana mdau wangu sijasema kahawa itumike kama dawa au itumike wakati wa magonjwa kwa maaana ya kuacha dawa na kutumia kahawa.


 Faida nazoenda kusema ni kwa wale watumiaji wa mara kwa mara na faida wazipatazo kwa miili yao ikiwemo kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali


Kemikali hii ina faida zifuatazo


1) Kusaidia kuzuia mgando wa damu (Antithrombotic agents)


2) Huzuia uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo na hupunguza uwezekano wa kupoteza maisha kutokanapo na madhara ya presha ya kupanda au matatizo ya moyo (Coffee consumption was consistently associated with a lower risk of mortality from all causes of cardiovascular disease, coronary heart disease, and stroke in a non-linear relation 


3) Kudhibiti magonjwa yasababishwayo na kimelea listeria (inhibition of Listeria Monocytogenes)


4) Kupunguza uwezekano wa kupata satatani mbalimbali (Anticarcinogenic activity) 


5) Humzuia kimelea streptokokas mutans kujishika katika meno na hivo kuzuia uwezekano wa kupata matatizo ya meno kutoboka (Anti-adhesive properties against S.mutans) Cc: Dr.mathew






Post a Comment

0 Comments