KUPOTEZA HAMU YA TENDO LA NDOA wakati wa Ujauzito

 UJAUZITO

• • •  •

KUPOTEZA HAMU YA TENDO LA NDOA wakati wa Ujauzito


Kipindi cha Ujauzito ni kipindi ambacho mwili hupokea mabadiliko mengi sana ambayo hayakuwepo hapo awali, na yote haya sababu kubwa ni kutokana na mabadiliko makubwa ya vichocheo vya mwili ambayo hutokea kipindi mwanamke akiwa mjamzito,



Mabadiliko hayo ni pamoja na; 


- Baadhi ya wanawake kukosa kabsa hamu ya tendo la ndoa


- Kuwa mkavu sana sehemu za siri


- Mwanamke kushambuliwa na magonjwa kama UTI mara kwa mara


- Kutema sana mate


- Mwanamke kuanza kubadilika rangi ya ngozi yake


- Kuwa na mstari mweusi tumboni


- Kuvimba miguu


- Kukosa kabsa usingizi


- Kukosa hamu ya kula


- Kichefuchefu na kutapika mara kwa mara


- Mapigo ya moyo kwenda mbio 


N.k


Kitu cha msingi ambacho mama mjamzito anatakiwa kukifahamu, ni kujua dalili zote za hatari wakati wa Ujauzito ili akiona dalili hizo awahi hospital kwa ajili ya matibabu zaidi.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!