MADHARA YA KEMIKALI YA CHROMIUM(majibu)
AFYA TIPS
• • • • •
MADHARA YA KEMIKALI YA CHROMIUM(majibu)
MAJIBU YA SWALI LILILOPITA👇
kemikali ya chromium ambayo hutumiwa sana katika masula ya uchomeleaji wa vyuma(weldering) inapunguza utengenezwaji wa mbegu (spermatogenesis) na inapelekea kusinyaa na kupunguza uwezo wa pumbu kufanya kazi (testicular atrophy)
wengi mmejaribu vizuri lakini hakuna aliepatia jibu sahihi. Tuendelee kua pamoja kujifunza mengi.. Elimu haina mwisho..
#Dr.mathew
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!