Connect with us

afyatips

MADHARA YA KUOVERDOSE QUININE

Doctor Ombeni

Published

on

35 Views
0 Comments

 QUININE

• • • • •

MADHARA YA KUOVERDOSE QUININE


– Mtu kutapika sana


– Mtu kupatwa na maumivu makali ya tumbo


– Mtu kuharisha


– Kupata maumivu makali ya kichwa


– Kupatwa na kizunguzungu kikali


– Kuona marue rue na kutokuona vizuri


– Kusikia sauti zinaimba masikioni hali ambayo hujulikana kama Ear ringing


– Kuanza kupata rashes kwenye ngozi yako


– Masikio kutokusikia vizuri au masikio kuanza kupoteza uwezo wake wa kusikia


– Kupata hali kama ya kuchanganyikiwa


– Gafla joto la mwili kupanda na kuwa juu

n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



35 Views
0 Comments

Medical Disclaimer

Medical Disclaimer: Taarifa kwenye makala hii ni kwa ajili ya Updates au elimu ya jumla tu na haichukui nafasi ya uchunguzi,Tiba au ushauri wa kitaalamu wa daktari kwa mtu mmoja mmoja. Kama una dharura au tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

LATEST POSTS

Uzazi/Ujauzito3 hours ago

Mama mjamzito akiwa na mimba ya miezi 8 anaruhusiwa kusafiri safari ndefu ya masaa zaidi ya 24?

Mama mjamzito akiwa na mimba ya miezi 8 anaruhusiwa kusafiri safari ndefu ya masaa zaidi ya 24? Ndiyo, mama mwenye...

EVENTS4 hours ago

Siku ya Usalama wa Mgonjwa Duniani 2026: Huduma Salama kwa Magonjwa Yasiyoambukiza

Siku ya Usalama wa Mgonjwa Duniani (World Patient Safety Day) huadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Septemba kwa lengo la kuongeza...

Hospital22 hours ago

MNH-Mloganzila Yafanya Upasuaji wa Kurekebisha na Kurefusha Mifupa kwa Mbinu ya Ilizarov

MNH-Mloganzila Yafanya Upasuaji wa Kurekebisha na Kurefusha Mifupa kwa Mbinu ya Ilizarov Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)-Mloganzila imefanikiwa kufanya kwa...

EVENTS24 hours ago

Wavunja Record ya Dunia kwa kupanda miche 2,51,446 kwa saa moja tu

Wavunja Record ya Dunia kwa kupanda miche 2,51,446 kwa saa moja tu. Katika juhudi kubwa za kushangaza kwenye kutunza mazingira,...

magonjwa ya wanawake1 day ago

Fangasi Ukeni: Chanzo na Dalili

Fangasi Ukeni: Chanzo na Dalili Fangasi ukeni ni maambukizi ya fangasi yanayotokea kwenye uke na mara nyingi husababishwa na fangasi...

magonjwa ya wanawake2 days ago

Hedhi yenye harufu mbaya: SABABU zinazoweza kusababisha

Kwa baadhi ya wanawake, damu ya hedhi inaweza kuwa na harufu fulani ambayo si sawa na harufu ya kawaida ya...

EVENTS2 days ago

Siku ya kuzuia kujiua duniani 2026: kubadili mtazamo na kuanza mazungumzo

SIKU YA KUZUIA KUJIUA DUNIANI 2026: KUBADILI MTAZAMO NA KUANZA MAZUNGUMZO Kaulimbiu ya 2026: “Changing the Narrative on Suicide” –...

Utafiti2 days ago

Vifo Vinavyotokana na Mimba kutunga Nje ya Kizazi

Mimba kutunga nje ya kizazi (ectopic pregnancy) ni hali ambayo mimba inajipandikiza nje ya sehemu ya kawaida ya kizazi,Mara nyingi...

Utafiti2 days ago

Ucheleweshaji wa huduma Ndani ya Hospitali Wawa Tishio Kubwa kwa Maisha ya Mama na Mtoto

Ucheleweshaji wa huduma ndani ya vituo vya afya umeonekana kuwa moja ya sababu kubwa zinazochangia vifo vya wajawazito na watoto...

Afya News3 days ago

Jinsi Dawa za Kulevya Zinavyoharibu Afya ya Kinywa na Meno

Matumizi ya dawa za kulevya yanaweza kuathiri sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo ubongo, moyo, ini na mfumo wa fahamu. Hata...

36
0