MAMBO AMBAYO HUSABABISHA MTU KUKOSA HAMU YA CHAKULA

 CHAKULA

• • • • • •

MAMBO AMBAYO HUSABABISHA MTU KUKOSA HAMU YA CHAKULA


Watu wengi hupatwa na tatizo hili la kukosa hamu ya chakula hasa hasa Wanawake pamoja na Watoto ndyo waathirika wakubwa wa tatizo hili,


Je chanzo cha tatizo hili ni nini? Katika makala hii tuachambua baadhi ya mambo ambayo huweza kusababisha mtu kukosa hamu ya chakula


MAMBO AMBAYO HUSABABISHA MTU KUKOSA HAMU YA CHAKULA


- Mabadiliko ya mwili kutokana na Hali ya ujauzito


- Kuwa na tatizo la minyoo hasa kwa watoto wadogo


- Maambukizi ya magonjwa mbali mbali kama vile;


• Ugonjwa wa malaria


• Ugonjwa wa homa ya matumbo yaani Typhoid


• Matatizo ya vidonda vya tumbo


• Shida ya kansa ya utumbo au tumbo


• pamoja na mashambulizi mengine ya vimelea vya magonjwa kama vile; Bacteria, Virusi pamoja na Fangasi


- Tatizo la Mvurugiko wa vichocheo mwilini yaani kwa kitaalam hujulikana kama Hormone imbalance


- Mtu kufanyiwa upasuaji wa Tumboni


- Mtu kufanyiwa upasuaji wa kukata utumbo


n.k


Tatizo hili linatibika kulingana na chanzo chake,hivo kutana na wataalam wa afya kwa ajili ya msaada zaidi.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!