MDOMO KUPINDA PEMBENI NI DALILI YA UGONJWA GANI?

 MDOMO KUPINDA

• • • • • 

MDOMO KUPINDA PEMBENI NI DALILI YA UGONJWA GANI?


Kuna baadhi ya watu hupatwa na tatizo la Mdomo kupinda, tatizo ambalo huweza kutokea gafla na bila kujua ni dalili za tatizo gani.


Hizi ni dalili za tatizo la STROKE au KIHARUSI, 


Chanzo cha Ugonjwa wa kiharusi ambapo kwa kitaalam Hujulikana kama STROKE


 Kiharusi ni upotezaji wa haraka wa utendaji wa ubongo kwa sababu ya usumbufu katika usambazaji wa damu kwenye ubongo.  Hii inaweza kutokea kwa sababu ya ischemia (ukosefu wa mtiririko wa damu) unaosababishwa na kuziba (thrombosis, embolism ya mishipa), au damu (kuvuja kwa damu).



🔺Dalili za Ugonjwa wa Kiharusi au Stroke


 Matokeo ya ugonjwa wa kiharusi ni pamoja na eneo lililoathiriwa la ubongo kushindwa kufanya kazi vizuri.  Ambapo Dalili mbali mbali huweza kujitokeza kama;


  • Hemiplegia (kutoweza kusogeza mguu mmoja au zaidi upande mmoja wa mwili)
  • Aphasia (kutoweza kuelewa au kutumia lugha), 
  • Au kutoweza kuona vizuri kwa Mgonjwa
  • Kushindwa kusogeza mkono na mguu wa upande Mmoja au kuparalize
  • Mdomo kupinda gafla na kwa haraka sana



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!