Ticker

6/recent/ticker-posts

NGOZI YA KORODANI KULIWA(pumbu erosion)



 KORODANI

• • • • • •

NGOZI YA KORODANI KULIWA(pumbu erosion)


Tatizo hili la ngozi ya korodani kuliwa hutokea sana kwa watu, na ndipo katika maeneo mbali mbali hasa kwa wanafunzi wa boding wakawa wanatumia jina maarufu kama Pumbu erosion,


Tatizo hili la ngozi ya korodani kuliwa huambatana na michubuko, miwasho mikali na wakati mwingine maumivu pamoja na harufu kutoka sehemu za siri,


Watu ambao wapo maeneo ya joto ni waathirika wakubwa wa tatizo hili


CHANZO CHA TATIZO HILI


- Chanzo cha tatizo la ngozi ya korodani kuliwa linatokana na maambukizi ya fangasi wa sehemu za siri


DALILI ZA MAAMBUKZI YA FANGASI HAWA NI PAMOJA NA;


- Ngozi ya korodani kuliwa


- Ngozi ya korodani kubadilika rangi na kuwa nyekundu sana


- Kupata shida wakati wa kutembea


- Kupata miwasho mikali sehemu za siri


- Kutoa harufu mbaya maeneo ya sehemu za siri, hasa baada ya kuchomwa na jua kali


- Kupata maumivu kwenye korodani

n.k


MATIBABU YA TATIZO HILI


- Miongoni mwa matibabu ya fangasi hawa ni pamoja na matumizi ya dawa mbali mbali za fangasi kama vile; Clotrimazole cream ya kupaka n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments