ORODHA YA AINA ZA KANSA ZILIZOONGOZA KUWAPATA WATU PAMOJA NA KANSA ZILIZOONGOZA KWA VIFO DUNIANI mwaka 2020
KANSA
• • • • •
ORODHA YA AINA ZA KANSA ZILIZOONGOZA KUWAPATA WATU PAMOJA NA KANSA ZILIZOONGOZA KWA VIFO DUNIANI mwaka 2020
Miongoni mwa magonjwa ambayo yamesababisha vifo vingi duniani kote kwa mwaka 2020 ni pamoja na ugonjwa wa Kansa,
Kuna aina mbali mbali za kansa ambazo zimeongoza kwa kuwapata watu wengi duniani, na kuna aina za kansa ambazo zimeongoza kwa kusababisha vifo vingi duniani katika kipindi cha mwaka 2020
A). AINA ZA KANSA AMBAZO ZIMEONGOZA KUWAPATA WATU WENGI DUNIANI MWAKA 2020
1. Kansa ya Matiti
Ambayo case mpya zilikuwa 2.26 million
2. Kansa ya mapafu
Ambayo case mpya zilikuwa 2.21 million
3. Kansa ya utumbo mpana(colon) pamoja na Rectum
Ambayo case mpya zilikuwa 1.93 million
4. kansa ya tezi dume(prostate)
Ambayo case mpya zilikuwa 1.41 million
5. Kansa ya ngozi
Ambayo case mpya zilikuwa 1.20 million
6. Kansa ya tumbo
Ambayo case mpya zilikuwa 1.09 million
B). AINA ZA KANSA AMBAZO ZIMEONGOZA KWA KUSABABISHA VIFO VINGI DUNIANI MWAKA 2020
1. Kansa ya mapafu
Ambapo ilisababisha vifo takribani 1.80 million
2. Kansa ya colon pamoja na rectum
Ambapo ilisababisha vifo takribani 935,000
3. Kansa ya ini
Ambapo ilisababisha vifo takribani 830,000
4. Kansa ya tumbo
Ambapo ilisababisha vifo takribani 769,000
5. Kansa ya Matiti
Ambapo ilisababisha vifo takribani 685,000
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!