SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA KUMPA MWANAMKE MIMBA(chanzo)

UZAZI

• • • • • •

SABABU ZA MWANAUME KUSHINDWA KUMPA MWANAMKE MIMBA(chanzo)



VISABABISHI VYA KUSHINDWA KUPATA MTOTO


Viko visababishi vingi sana vya kushindwa kupata mtoto kwa mwanaume. 


vifuatavyo ni baadhi ya visababishi vikuu:-


1)Kua na mbegu chache(oligozoospermia) au kutokua na mbegu kabisa(azoospermia)


2)Uzito mkubwa/kiribatumbo


3)Kuzaliwa bila pumbu


4)Kuzaliwa bila uume,au uume wenye matatizo kama kutokua na tundu au tundu kutokea sehemu nyingine tofauti na mbele.


5)Kuzaliwa bila mirija ya mbegu


6)Kuzaliwa mwanaume-mwanamke(intersex) (hawa hukuta mtu kazaliwa kwa nje anaonekana mwanaume kumbe ndani ana via vya kike vya uzazi mfano mji wa mimba.hawa watu kwa nje utamuona mwanaume akiwa na uume ambao ni mdogo)

 

7)Magonjwa ya zinaa kama kisonono,MGEN na klamidia


8)Kua na magonjwa ya muda mrefu kama UKIMWI,kisukari,saratani n.k


9)Msongo wa mawazo


10)Saratani ya mfumo wa uzazi na dawa zake


11)Ajali inayohusisha kichwa,mgongo na kiuno


Cr: Dr. Mathew


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!