TABIA HATARISHI KWA AFYA YA BINADAMU(afya tips za leo)
AFYA TIPS
• • • • •
TABIA HATARISHI KWA AFYA YA BINADAMU
Fahamu baadhi ya mambo ambayo ukiyafanya huweza kukusababishia matatizo makubwa kwenye afya yako, mambo hayo ni kama vile;
1. Matumizi ya pombe kupita kiasi, soma hapa... madhara
2. Uvutaji wa sigara, matumizi ya madawa ya kulevyia, kujidunga sindano n.k
3. Kunywa maji machafu
4. Kufanya mapenzi kinyume na maumbile, Ngono zembe, kujichua n.k
5. Kutokufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara
6. Kula vyakula vya mafuta kwa kiwango kikubwa sana
7. Matumizi ya chumvi,sukari,pilipili n.k Kupita kiasi
8. Kutumia maji machafu wakati wa kujisafisha chooni
9. Kuvaa nguo za kubana sana mwili,viatu virefu sana,nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri n.k
10. Kula chakula au kitu chochote bila kunawa mikono
11. Matumizi ya dawa hovio bila maelekezo kutoka kwa wataalam wa afya
12. Kulala na jiko la mkaa ndani, huku umefunga milango na madirisha
13. Matumizi ya vitu vyenye kemikali kwenye sehemu za siri kama vile; sabuni,mafuta n.k
14. Kupiga dawa mimea,mifugo n.k bila kuvaa masks
15. Matumizi ya Ugoro, soma hapa madhara.
N.K.......!!!
KUMBUKA; kinga ni bora kuliko tiba
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!