TATIZO LA HEDHI KUBADILIKA BADILIKA(chanzo)

 HEDHI

• • • • •

TATIZO LA HEDHI KUBADILIKA BADILIKA(chanzo)


Wanawake wengi wanasumbuliwa na tatizo la hedhi kutokuwa na tarehe maalumu yaani wanakuwa na IRREGULAR MENSTRUAL CYCLE.


Hali hii ni tatizo kama mzunguko wako wa hedhi haukuwa hivo tangu awali, maana kuna wanawake wengine ndyo asili ya Mzunguko wao wa hedhi ulivyo(wana mzunguko ambao ni Irregular) tangu kuanza kuona siku zao za hedhi.


CHANZO CHA TATIZO LA KUBADILIKA MZUNGUKO WA HEDHI


- kubadilika kwa tarehe za hedhi husababishwa na hali ya vichocheo vya mwili au hormones kutokuwa Sawa hali ambayo hujulikana kama Hormone imbalance,


Ingawaje Kuna sababu zingine kama vile; maambukizi ya magonjwa mbali mbali huweza kuvuruga kabsa mzunguko wa hedhi kwa mwanamke,


Matatizo kama uvimbe kwenye vifuko vya mayai yaani Ovarian cysts huweza pia kubadilisha mzunguko wa hedhi kwa Mwanamke


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!