TATIZO LA MTOTO KUZALIWA NA VIDOLE SITA

 VIDOLE SITA

• • • • •

TATIZO LA MTOTO KUZALIWA NA VIDOLE SITA


Tatizo la mtoto kuzaliwa na vidole sita ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Baby Extra digit, huhusisha mtoto kuzaliwa na nyongeza ya kakidole kadogo kasita kwa pembeni( tazama picha hapo chini)


Tatizo hili linatibika, na kidole hiki kidogo kinaondolewa


Kuna nyuzi maalumu hufungwa hapo na kukaza hicho kidole cha zaida hali ambayo husababisha damu kutokupita eneo hili hivo seli za eneo hili kukosa damu na kufariki,


Kisha kakidole kukatika na kudondoka kenyewe


Hivo kama una mtoto wako mdogo ndyo kazaliwa na shida hii onana na wataalam wa afya


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!