TATIZO LA MTOTO MDOGO KUWASHWA SEHEMU ZA SIRI na mkojo kuuma

 AFYA KWA WATOTO

• • • • • •

TATIZO LA MTOTO MDOGO KUWASHWA SEHEMU ZA SIRI na mkojo kuuma


Fahamu kwamba hata watoto wadogo huweza kushambuliwa na Fangasi sehemu za siri pamoja na Uti,


Swala la UTI kwa watoto wadogo ni tatizo sana kwa hivi sasa, kwani watoto wengi hupata UTI,


Vitu ambavyo huweza kumuweka mtoto kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI ni pamoja na;


Mtoto kuachwa na kinyesi kwenye pampas kwa muda mrefu hali ambayo huweza kusababisha bacteria kutoka kwenye kinyesi kuingia sehemu zake za siri hasa kwa watoto wa kike.


Hivo mtoto kuumwa mkojo wakati wa kukojoa huweza kuwa ni dalili ya ugonjwa wa UTI,


Lakini hali ya miwasho sehemu za siri kwa mtoto huweza kuwa ni mashambulizi ya ugonjwa wa Fangasi wa Sehemu za siri



Endapo mtoto wako ana tatizo hili mpeleke hosiptal kwa ajili ya vipimo pamoja na Tiba


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!