TATIZO LA MTU KUWA NA HISIA ZA KIMAPENZI KUTOKANA NA VITU AMBAVYO HAVINA UHAI(Fetishism)

 AFYA TIPS

• • • • • •

TATIZO LA MTU KUWA NA HISIA ZA KIMAPENZI KUTOKANA NA VITU AMBAVYO HAVINA UHAI(Fetishism)


Fetishism ni tatizo ambalo huhusisha mtu kuwa na hisia za kimapenzi  ambazo huhusishwa na vitu ambavyo havina uhai mfano; Viatu vya kike(tazama kwenye picha),nguo za ndani n.k


Mtu mwenye tatizo hili hupatwa na hisia za kimapenzi baada ya kuona vitu hivi, kuvigusa, kuvivaa n.k


Kutokana na tafiti mbali mbali za Wataalam wa afya, imeonekana kwamba tatizo hili hutokea pindi tu mtu anapofikia kipindi cha balehe,


ambapo huanza kuwa na hisia kali za kimapenzi kwa vitu mbali mbali kama vile;


Baada ya kuona au kugusa Sehemu ya mwili ya mtu kama vile, Mguu, paja, nywele na hata vitu ambavyo havina uhai kama nguo za ndani n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE LILE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!