UTERUS
• • • • •
TATIZO LA MWANAMKE KUWA NA UTERUS MBILI(double uterus)
Tatizo hili huhusisha mwanamke kuwa na matumbo ya uzazi mawili au uterus mbili kwa wakati mmoja.
Hali hii ipo na ni kweli inatokea, japo ni mara chache sana kutokea.
Tatizo hili hutokea kwenye uumbaji wa mtoto ambapo kwa kitaalam tunasema Congenital abnormality,
Je kuna madhara yoyote mwanamke kuwa na Uterus mbili kwa wakati mmoja?
- Mwanamke huyu huwa sawa na wanawake wengine, japo kuna baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba wanawake wenye shida hii ya uterus mbili huweza kupatwa na matatizo kipindi cha ujauzito kama vile;
✓ Mimba kutoka zenyewe au
✓ Kupata uchungu na kujifungua mtoto kabla ya wakati( preterm labor)
- Mwanamke mwenye uterus ya aina hii haonyeshi Dalili yoyote kwa Nje ni mpakata apimwe.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
A. Uterus 2 B. Uterus 1
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!