UZITO
• • • • •
TIPS ZA AFYA KWA WATU WENYE UZITO MKUBWA AU WANENE KUPITA KIASI
Nukuu ya Leo; uzito kupita kiasi au unene ni chanzo cha matatizo mengi mwilini Kama vile;
✓ presha au shinikizo la Damu
✓ Ugonjwa wa kisukari
✓ Magonjwa mbali mbali ya moyo
✓ Tatizo la uvimbe kwenye Kizazi
✓ Matatizo ya Kansa au Saratani N.K
TIPS ZA AFYA KWA WATU WENYE UZITO MKUBWA AU WANENE KUPITA KIASI
Zingatia mambo haya kwa ajili ya afya yako;
- Epuka kula vyakula ambavyo vina kiwango kikubwa sana cha mafuta mabaya
- Fanya mazoezi kila siku,angalau kwa Dakika 30 au nusu saa
- Epuka kula vyakula vya aina moja tu kila siku, bali kula chakula ambacho kina virutubisho vyote katika kiwango sahihi mwilini yaani Balance diet
- Epuka matumizi ya pombe kupita kiasi
- Fanya checkup za mara kwa mara
- Pata muda wa kutosha wa kulala
- dhibiti kiwango cha mawazo na kuepuka msongo wa mawazo
• Kujua zaidi kuhusu tatizo la Uzito mkubwa na JINSI ya Kupunguza UZITO soma hapa.!!
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!