UHUSIANO WA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TUMBO KUWA KUBWA SANA WAKATI WA UJAUZITO
FIBROIDS
• • • • • •
UHUSIANO WA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TUMBO KUWA KUBWA SANA WAKATI WA UJAUZITO
Kuna baadhi ya Wanawake hudanganyana kwamba,Mama mjamzito akiwa na tumbo kubwa sana huenda atakuwa na uvimbe kwenye kizazi.
Je dhana hii ina ukweli wowote? Soma hapa..!!
BAADHI YA SABABU ZA MAMA MJAMZITO KUWA NA TUMBO KUBWA SANA
- Mama kupatwa na tatizo la kuwa na kiwango kikubwa sana cha maji(amniotic fluid) au maji kujaa kwenye mji wa mimba hali ambayo kwa kitaalam hujulikana kama polyhydramnios
- Au mtoto kuwa mkubwa sana ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Big baby au macrosomia
UHUSIANO WA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TUMBO KUWA KUBWA SANA WAKATI WA UJAUZITO
- Tafiti za wataalam wa afya zinaonyesha kwamba kadri mama anavyokuwa na Uvimbe mkubwa kwenye kizazi ndipo ukuaji wa mtoto huathiriwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kupungua kwa nafasi ambayo huchukuliwa na uvimbe
Hivo bila shaka utakuwa umejua uhusiano wa uvimbe kwenye kizazi pamoja na tumbo la uzazi
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!