ZINGATIA HAYA KUENDELEA KUJIKINGA NA JANGA LA CORONA(COVID-19)

  CORONA

• • • • •

ZINGATIA HAYA KUENDELEA KUJIKINGA NA JANGA LA CORONA(COVID-19)


Endelea kuzingatia mambo yafuatayo ili kuendelea kujikinga na Janga la Corona;


✓ Epuka kukaa sehemu za mikusanyiko isio ya lazima


✓ Hakikisha unanawa mikono na maji safi tiririka pamoja na sabuni


✓ Tumia sanitizer


✓ Hakikisha unavaa masks maarufu kama Barakoa


✓ Nenda hospital ukihisi dalili kama vile;


- Mafua makali  ambayo huambatana na maumivu makali ya kichwa


- Kikohozi kikavu


- Joto la mwili kuwa juu au kuwa na homa


- Kubanwa mbavu sana wakati wa kupumua


- Kushindwa kupumua

N.k


KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!