VIPELE
• • • • •
KUWA NA VIPELE MWILI MZIMA(chanzo na tiba)
Tatizo hili la kuwa na vipele maeneo mbali mbali mwilini huweza kuambatana na miwasho au ngozi kubadilika rangi na kuwa nyekundu
CHANZO CHA KUWA NA VIPELE MWILINI
Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia mtu kuwa na vipele mwili mzima kama vile;
- allergy ya baadhi ya vitu kama vile; mafuta ya kula,mafuta ya kupaka,nyama,sabuni za kuogea n.k
- Ngozi ya mwili kugusana na viambata vyenye sumu
- Mtu kung'atwa na wadudu wenye sumu
- Maambukizi ya magonjwa mbali mbali kama vile; surua,matetekuwanga n.k
- Mtu kuwa na tatizo la eczema
MATIBABU YA TATIZO HILI
Tatizo hili huweza kutibika kulingana na chanzo chake,Mfano; kama chanzo chake ni allergy, basi mgonjwa hupewa dawa mbali mbali za Allergy kama vile Cetrizine n.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!