MAJI NI MUHIMU SANA KWA MAMA MJAMZITO
MJAMZITO
• • • • • •
MAJI NI MUHIMU SANA KWA MAMA MJAMZITO
Maji ni muhimu kwa mjamzito , na mahitaji ya maji huongezeka pia unapokua mjamzito . Kwahiyo kunywa maji ya kutosha kadiri unavyojisikia kiu au uhitaji
.
.
Pia vinywaji vingine salama na vizuri kwa mjamzito ni kama vile juice ya limao , maziwa, juice ya matunda , juice ya mbogamboga (mfano juice ya karoti 🥕)
.
Juice ya limao itakusaidia kupunguza pia hali ya kujisikia kichefuchefu na kutapika, ijaribu uone 🤝
.
.
Epuka kunywa pombe , energy drinks , juice mimea tiba asili ( Labda kama upo katika uangalizi au daktari wako anafahamu - Ni rahisi sana ujauzito wako kupata madhara , endapo hamna uthibitisho wowote wa viwango unavyotumia )
#afyasolution
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!