Ticker

6/recent/ticker-posts

Mboga ya chinese na kupunguza mbegu za kiume,Je ni kweli?



  MBOGA YA CHINESE

• • • • •

Mboga ya chinese na kupunguza mbegu za kiume,Je ni kweli?


FAHAMU HILI; Mboga ya Chinese ni mboga ambayo imeanza kulimwa nchini CHINA ndipo ikaanza kusambaa maeneo mengine duniani, na hicho ndyo chanzo cha jina CHINESE,


Mboga hii ya chinese ina majina mengi kama vile CHINESE LEAF, CHINESE CABBAGE, na kwa jina la Kisayansi hujulikana kama BRASSICA RAPA.


Mboga hii ya majani ya Chinese ni jamii ya Kabichi za Ulaya.


JE NI KWELI MBOGA YA CHINESE HUPUNGUZA MBEGU ZA KIUME?


- Zipo dhana mbali mbali kwa baadhi ya Jamii kuhusu mboga hii ya Chinese kama Vile;


1. Mboga ya chinese kupunguza mbegu za kiume


2. Mboga za chinese kupunguza kuvu za kiume


3. Mboga za Chinese kusababisha mwanaume kushindwa kumpa mwanamke mimba

N.k


UKWELI KUHUSU HILI;


Hizi ni dhana potofu na hazina ukweli wowote, Badala yake mboga ya Chinese ni kama mboga zingine za majani na ina faida nyingi mwilini,


ikiwa ni pamoja na, kuwa Chanzo kizuri sana cha Vitamin A na C Mwilini.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments