Mwili kuvimba baada ya Kunywa Flagyl(METRONIDAZOLE)

  FLAGYL

• • • • •

Mwili kuvimba baada ya Kunywa Flagyl(METRONIDAZOLE)


Baadhi ya watu wana Allergy na matumizi ya Dawa aina ya Flagyl ikiwa ni Sindano au Vidonge, na watu ambao wana allergy na dawa hii huonyesha matokeo mbali mbali baada ya Kutumia dawa hii kama vile;


1. Mwili kuvimba baada ya kutumia dawa ya Flagyl


2. Kuwashwa sana mwilini baada ya kutumia dawa ya Flagyl


3. Kupata kichefuchefu na kutapika sana baada ya kutumia dawa ya Flagyl


4. Mwili kupata vipele baada ya kutumia dawa ya Flagyl


5. Maumivu makali ya tumbo na kuharisha baada ya kutumia dawa ya Flagyl


6. Maumivu makali ya kichwa na kizunguzungu baada ya kutumia dawa ya Flagyl


7. Hamu ya chakula kuisha kabsa na mdomo kuwa mchungu sana baada ya kutumia dawa ya Flagyl


8. Mdomo kukauka kupita kawaida baada ya kutumia dawa ya Flagyl


9. Kupata vidonda mdomoni baada ya kutumia dawa ya Flagyl


10. Kupata maumivu makali wakati wa kukojoa baada ya kutumia dawa ya Flagyl


11. Mwili kutetemeka wenyewe baada ya kutumia dawa ya Flagyl


12. Mtu kupata Homa au joto la mwili kuwa juu sana baada ya kutumia dawa ya Flagyl


13. Kuwashwa sana sehemu za siri baada ya kutumia dawa ya Flagyl

N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!