Ticker

6/recent/ticker-posts

TATIZO LA KANSA,SARATANI AU SARCOMA(maana yake,chanzo,dalili na Tiba)



  SARCOMA

• • • • •

TATIZO LA KANSA,SARATANI AU SARCOMA(maana yake,chanzo,dalili na Tiba)


Sarcoma ni neno la kitaalam likiwa na maana ya Kansa ambayo huweza kutokea maeneo mbali mbali ya mwili wako kama vile;


✓ Kansa ya Ubongo


✓ Kansa ya kwenye damu


✓ Kansa ya kwenye mikono(pichani)


✓ kansa ya Mifupa N.k


CHANZO CHA TATIZO LA SARCOMA


hakuna sababu za moja kwa moja za kutokea kwa tatizo la Kansa Au Saratani ila wataalam wa afya huhusisha tatizo hili na mabadiliko au mutations ndani ya DNA za seli mwilini hali ambayo hupelekea seli kukuwa bila mpangilio maalumu


VITU AMBAVYO HUONGEZA UWEZEKANO WA MTU KUPATA TATIZO HILI


- Kurithi baadhi ya vinasaba vya tatizo hili


- Kupata huduma ya mionzi kwa muda mrefu


- kuwa na tatizo la kuvimba mara kwa mara


- Kuwa katika mazingira ya makemiko mara kwa mara,mfano chemical za dawa kama Herbicides

N.k


DALILI ZA SARCOMA NI PAMOJA NA;


- Mtu kuvunjika mifupa kwa urahisi zaidi(Bone cancer)


- Maumivu makali ya tumbo


- Kuvimba sehemu mbali mbali mwilini,uvimbe ambao huweza kuwa na maumivu au kutokuwa maumivu yoyote


- Kukosa kabsa hamu ya chakula

N.k


MATIBABU YA SARCOMA


Tatizo hili la Kansa hutibiwa kwa Njia mbali mbali kama vile;


✓ Njia ya Upasuaji na kuondoa seli zilizoathiriwa


✓ Huduma ya mionzi yaani Radiotherapy


✓ Chemotherapy

N.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments